Search

733 results for Hadija Jumanne :

  1. Kortini wakidaiwa kusambaza picha za ngono mtandaoni

    Furaha Jacob, ambaye ni mkemia na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuchapisha na kusambaza picha za ngono...

  2. Kortini wakidaiwa kuiba lita 400 za mafuta ya transfoma

    Washtakiwa hao, ambao wote ni wakazi wa Kimara, wamefikishwa Mahakama hapo, leo Aprili 23, 2024 na kusomewa mashitaka yao na wakili wa Serikali, Adolf Verandumi, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...

  3. Wanaodaiwa kusafirisha kilo 332 za dawa za kulevya, wakosa dhamana

    Washtakiwa hao wapo tisa na wote wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa hizo

  4. Watatu kortini wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya

    Hakimu Mbuya, alisema uzito wa dawa za kulevya aina ya heroine ambazo wanadaiwa kukutwa nazo hazina dhamana kwa mujibu wa sheria, hivyo walirudishwa rumande hadi Mei 2, 2024 kwa ajili ya kusomewa...

  5. Wawili kortini kwa kukutwa na nyara za Serikali

    Akiwasomea shitaka hilo, wakili Protas amedai Desemba 23, 2022 katika maeneo ya Malamba Mawili Wilaya ya Ubungo, washtakiwa wanadaiwa kukutwa na vipande 30 vya meno ya tembo.

  6. Watanzania 56 waliozamia Afrika Kusini, wahukumiwa kulipa faini Sh50,000 kila mmoja

    Inaelezwa washtakiwa wakiwa raia wa Tanzania, waliondoka isivyo halali nchini kueleleka Afrika Kusini

  7. Mchungaji kizimbani tuhuma za  udanganyifu

    Inadaiwa siku ya tukio, katika ofisi za Uhamiaji zilizopo Kurasini jijini Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa ameingia nchini bila kibali au nyaraka yoyote inayoonyesha uhalali wa yeye kuwepo nchini.

  8. PRIME Wivu wa mapenzi wadaiwa kuchangia kumuua mkewe kwa visu

    Mkazi wa Mwamanyili Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, Jackson Kalamji (49) anadaiwa kumuua mkewe, Mariam Bulacha (42) kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali mwilini, baada ya kumtilia shaka kuwa...

  9. Kesi dhidi ya Chavda kuanza kusikilizwa Mei 14

    Oktoba 7, 2019 katika Kituo Kikuu cha Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, mshtakiwa anadaiwa alitoa taarifa za uongo kuhusu upotevu wa hati tano za viwanja kwa lengo la kujipatia hati za...

  10. Mahakama yagoma kuwafutia mashtaka ya utakatishaji fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la kufuta mashtaka matatu ya utakatishaji fedha yaliyowasilisha na upande wa utetezi katika kesi ya kusafirisha vipande...

Page 1 of 74

Next